وَيُسۡقَوۡنَ فِيهَا كَأۡسٗا كَانَ مِزَاجُهَا زَنجَبِيلًا ١٧
Wayusqawna fīhā ka san kāna mizājuhā zanjabīlā
Na humo watanyweshwa kinywaji kilicho changanyika na tangawizi. 17
Maelezo ya chini
17 Na watu wema hupewa kunywa huko Peponi mvinyo inayo fanana na sharubati ya tangawizi kwa utamu.