Surat Al-Infitar, aya 7

82:7

ٱلَّذِي خَلَقَكَ فَسَوَّىٰكَ فَعَدَلَكَ ٧

Alladhī khalaqaka fasawwāka fa'adalak

Aliye kuumba, akakuweka sawa, akakunyoosha! 7

Maelezo ya chini

7 Mungu wako huyo ndiye aliye kuumba nawe hukuwa chochote, akakuumba na viungo vya kukuletea manufaa, akakufanya umenyooka kwa umbo sawa sawa.