Surat Al-Infitar, aya 17

82:17

وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا يَوۡمُ ٱلدِّينِ ١٧

Wamā adrāka mā yawmud-dīn

Na nini kitakacho kujuulisha Siku ya Malipo ni siku gani? 17

Maelezo ya chini

17 Na nini kitakujuvya ni nini hiyo Siku ya Malipo, na mambo yake yamepindukia ujuzi wako na fikra zako?