Surat Al-Imran, aya 82

3:82

فَمَن تَوَلَّىٰ بَعۡدَ ذَٰلِكَ فَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡفَٰسِقُونَ ٨٢

Faman tawallā ba'da dhālika fa ulā'ika humul-fāsiqūn

Watakao geuka baada ya haya basi hao ndio wapotovu. 82

Maelezo ya chini

82 Anaye kataa kumuamini Nabii huyu baada ya ahadi hii madhubuti ni mpotovu aliye toka kwenye sharia ya Mwenyezi Mungu, ni kafiri mwenye kuwakataa Manabii wote wa mwanzo mpaka wa mwisho.