نَزَّلَ عَلَيۡكَ ٱلۡكِتَٰبَ بِٱلۡحَقِّ مُصَدِّقٗا لِّمَا بَيۡنَ يَدَيۡهِ وَأَنزَلَ ٱلتَّوۡرَىٰةَ وَٱلۡإِنجِيلَ ٣
Nazzala 'alaykal-kitāba bil-haqqi musaddiqal limā bayna yadayhi wa anzalat-tawrāta wal-injīl
Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili . 3
Maelezo ya chini
3 Umeteremshiwa wewe, Muhammad, hii Qur'ani yenye kukusanya ukweli wa misingi yote ya Sharia ya Mbinguni iliomo katika Vitabu vilivyo tangulia. Na hakika kabla ya Qur'ani Mwenyezi Mungu alikwisha teremsha Taurati kwa Musa, na Injili kwa Isa.