Surat Al-Imran, aya 132

3:132

وَأَطِيعُواْ ٱللَّهَ وَٱلرَّسُولَ لَعَلَّكُمۡ تُرۡحَمُونَ ١٣٢

Wa atī'ullāha war-rasūla la'allakum turhamūn

Na mt'iini Mwenyezi Mungu na Mtume ili mpate kurehemewa. 132

Maelezo ya chini

132 Na mt'iini Mwenyezi Mungu, na mt'iini Mtume katika kila wanacho amrisha na kila wanacho kikataza ili mpate kurehemeka duniani na Akhera.