وَٱتَّقُواْ ٱلنَّارَ ٱلَّتِيٓ أُعِدَّتۡ لِلۡكَٰفِرِينَ ١٣١
Wattaqun-nāral-latī u'iddat lil-kāfirīn
Na uogopeni Moto ambao umeandaliwa kwa ajili ya makafiri. 131
Maelezo ya chini
131 Tahadharini na Moto ulio andaliwa kwa ajili ya makafiri kwa kujiepusha kutafuta kuihalalisha riba.