Surat Al-Ikhlas, aya 4

112:4

وَلَمۡ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدُۢ ٤

Walam yakul lahū kufuwan ahad

Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4

Maelezo ya chini

4 Wala hana yeyote aliye mshabihi, au mfano wake.