Surat Al-Hijr, aya 98

15:98

فَسَبِّحۡ بِحَمۡدِ رَبِّكَ وَكُن مِّنَ ٱلسَّٰجِدِينَ ٩٨

Fasabbih bihamdi rabbika wakum minas-sājidīn

Basi mtakase Mola wako Mlezi kwa kumhimidi, na uwe miongoni wanaomsujudia. 98

Maelezo ya chini

98 Ikikupata dhiki hiyo mkimbilie Mwenyezi Mungu Mtukufu umwelekee, na umt'ii na umnyenyekee, na utake msaada kwa Sala, kwani humo ndio imo poza.