وَٱعۡبُدۡ رَبَّكَ حَتَّىٰ يَأۡتِيَكَ ٱلۡيَقِينُ ٩٩
Wa'bud rabbaka hattā ya'tiyakal-yaqīn
Na muabudu Mola wako Mlezi mpaka ikufikie Yakini. (nao ni Mauti) 99
Maelezo ya chini
99 Na shikilia ibada ya Mwenyezi Mungu aliye kuumba, akakulinda, mpaka ifike amri ya yakini, nayo ni Mauti.