Surat Al-Hijr, aya 94

15:94

فَٱصۡدَعۡ بِمَا تُؤۡمَرُ وَأَعۡرِضۡ عَنِ ٱلۡمُشۡرِكِينَ ٩٤

Fasda' bimā tu'maru wa a'rid 'anil-mushrikīn

Basi wewe yatangaze uliyo amrishwa, na jitenge na washirikina. 94

Maelezo ya chini

94 Basi wewe tangaza wito wa Haki, wala usishughulike na wayatendao washirikina na maneno yao.