Surat Al-Hijr, aya 95

15:95

إِنَّا كَفَيۡنَٰكَ ٱلۡمُسۡتَهۡزِءِينَ ٩٥

Innā kafaynākal-mustahzi'īn

Hakika Sisi tunatosha kukukinga na wanao kejeli. 95

Maelezo ya chini

95 Na hao washirikina wanao ukejeli wito wako hawatokushinda, wala hawatoweza kukuingilia kati baina yako na wito wako.