Surat Al-Hijr, aya 83

15:83

فَأَخَذَتۡهُمُ ٱلصَّيۡحَةُ مُصۡبِحِينَ ٨٣

Fa akhadhathumus-sayhatu musbihīn

Basi ukelele ukawatwaa asubuhi. 83

Maelezo ya chini

83 Walipo kufuru na wakakanya, zikawajia sauti za kutisha, za kuonya kuteketea kwao, wakahiliki wakati wa asubuhi.