فَمَآ أَغۡنَىٰ عَنۡهُم مَّا كَانُواْ يَكۡسِبُونَ ٨٤
Famā aghnā 'anhum mā kānū yaksibūn
Hayakuwafaa waliyo kuwa wakiyachuma. 84
Maelezo ya chini
84 Wala mali waliyo yachuma na majumba waliyo yajenga hayakuwalinda na hilaki iliyo wateremkia.