وَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَلَا تُخۡزُونِ ٦٩
Wattaqullāha walā tukhzūn
Na mcheni Mwenyezi Mungu, wala msinihizi. 69
Maelezo ya chini
69 Na mwogopeni Mwenyezi Mungu Mtukufu! Msifanye uchafu wenu, mkanipatisha hizaya na madhila mbele yao!