وَأَتَيۡنَٰكَ بِٱلۡحَقِّ وَإِنَّا لَصَٰدِقُونَ ٦٤
Wa ataynāka bil-haqqi wa innā lasādiqūn
Na tumefika kwako kwa Haki, na hakika sisi tunasema kweli. 64
Maelezo ya chini
64 Nasi tumekujia kwa amri iliyo thaabiti isiyo na shaka, nayo ni kuiteremsha adhabu. Na kutimiza ahadi ni katika sifa yetu, kwa amri ya Mwenyezi Mungu.