Surat Al-Hijr, aya 60

15:60

إِلَّا ٱمۡرَأَتَهُۥ قَدَّرۡنَآ إِنَّهَا لَمِنَ ٱلۡغَٰبِرِينَ ٦٠

Illamra'atahū qaddarnā innahā laminal-ghābirīn

Ila mkewe. Tunakadiria huyo atakuwa miongoni watao bakia nyuma. 60

Maelezo ya chini

60 Na hatoangamia katika ahli zake ila mkewe, kwani yeye hakumfuata mumewe, bali yu pamoja na hao wakosefu ambao wanao stahiki adhabu.