Surat Al-Hijr, aya 59

15:59

إِلَّآ ءَالَ لُوطٍ إِنَّا لَمُنَجُّوهُمۡ أَجۡمَعِينَ ٥٩

Illā āla lūtin innā lamunajjūhum ajma'īn

Isipo kuwa walio mfuata Luut'i. Bila ya shaka sisi tutawaokoa hao wote. 59

Maelezo ya chini

59 Wala hakusalimika na huo ukhalifu na adhabu yake ila ahli zake yeye Luut'i. Basi hao Mwenyezi Mungu Mtukufu ametuamrisha tuwaokoe wote.