قَالَ أَبَشَّرۡتُمُونِي عَلَىٰٓ أَن مَّسَّنِيَ ٱلۡكِبَرُ فَبِمَ تُبَشِّرُونَ ٥٤
Qāla abasshartumūnī 'alā am massaniyal-kibaru fabima tubasshirūn
Akasema: Mnanibashiria nami uzee umenishika! Basi kwa njia gani mnanibashiria? 54
Maelezo ya chini
54 Akasema: Vipi mnanibashiria mtoto na hali mimi nimekwisha patikana na udhaifu wa ukongwe. Kwa njia gani, basi, mnanibashiria jambo hili la ajabu?