وَأَنَّ عَذَابِي هُوَ ٱلۡعَذَابُ ٱلۡأَلِيمُ ٥٠
Wa anna 'adhābī huwal-'adhābul-alīm
Na kwamba adhabu yangu ndio adhabu iliyo chungu! 50
Maelezo ya chini
50 Na wape khabari kwamba adhabu ninayo wateremshia wenye kuasi na kukufuru ni adhabu yenye kutia machungu kweli, na adhabu yoyote nyengineyo haihisabiwi kuwa ina machungu mbele ya hii.