Surat Al-Hijr, aya 11

15:11

وَمَا يَأۡتِيهِم مِّن رَّسُولٍ إِلَّا كَانُواْ بِهِۦ يَسۡتَهۡزِءُونَ ١١

Wamā ya'tīhim mir rasūlin illā kānū bihī yastahzi'ūn

Na hakuwafikia Mtume ila walimkejeli. 11

Maelezo ya chini

11 Wala mtindo wao hao walio watangulia kwa kushikilia upotovu haukuwa ila kuwafanyia maskhara Mitume wao, Mtume baada ya Mtume, kama wanavyo kufanyia kejeli wewe! Huo ndio mtindo wa wapotovu!