وَجَآءَ فِرۡعَوۡنُ وَمَن قَبۡلَهُۥ وَٱلۡمُؤۡتَفِكَٰتُ بِٱلۡخَاطِئَةِ ٩
Wajā'a fir'awnu waman qablahū wal-mu'tafikātu bil-khāti'ah
Na Firauni na walio mtangulia, na miji iliyo pinduliwa chini juu, walileta khatia. 9
Maelezo ya chini
9 Akaja Firauni, na mataifa mengine yaliyo kufuru kabla yake, na wale jamaa walio acha mwendo wa haki na vitendo vya maumbile wakafanya vitendo vichafu kabisa hata miji yao ikapinduliwa juu chini.