Surat Al-Haqqah, aya 31

69:31

ثُمَّ ٱلۡجَحِيمَ صَلُّوهُ ٣١

Thummal-jahīma sallūh

Kisha mtupeni Motoni! 31

Maelezo ya chini

31 Kisha msimtie popote ila ndani ya Moto wa Jahannamu,