خُذُوهُ فَغُلُّوهُ ٣٠
Khudhūhu faghullūh
(Pasemwe): Mshikeni! Mtieni pingu! 30
Maelezo ya chini
30 Wataambiwa walinzi wa Jahannamu: Mshikeni, na mfungeni mikono yake kwenye shingo yake.
خُذُوهُ فَغُلُّوهُ ٣٠
Khudhūhu faghullūh
(Pasemwe): Mshikeni! Mtieni pingu! 30
30 Wataambiwa walinzi wa Jahannamu: Mshikeni, na mfungeni mikono yake kwenye shingo yake.