إِنِّي ظَنَنتُ أَنِّي مُلَٰقٍ حِسَابِيَهۡ ٢٠
Innī zanantu annī mulāqin hisābiyah
Hakika nalijua ya kuwa nitapokea hisabu yangu. 20
Maelezo ya chini
20 Mimi nilikuwa na yakini tangu duniani kuwa nitapata hisabu yangu, basi nikajitayarisha nafsi yangu kwa mkutano huu.