Surat Al-Hajj, aya 50

22:50

فَٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَهُم مَّغۡفِرَةٞ وَرِزۡقٞ كَرِيمٞ ٥٠

Falladhīna āmanū wa'amilus-sālihāti lahum maghfiratun warizqun karīm

Basi walio amini na wakatenda mema watapata maghfira na riziki za ukarimu. 50

Maelezo ya chini

50 Na wale walio muamini Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na wakatenda vitendo vyema, watapata kutokana na Mwenyezi Mungu kusamehewa dhambi zao walizo ziingia, kama kadhaalika watavyo pata riziki ya ukarimu huko Peponi.