وَٱلَّذِينَ سَعَوۡاْ فِيٓ ءَايَٰتِنَا مُعَٰجِزِينَ أُوْلَٰٓئِكَ أَصۡحَٰبُ ٱلۡجَحِيمِ ٥١
Walladhīna sa'aw fī āyātinā mu'ājizīna ulā'ika ashābul-jahīm
Na wanao jitahidi kuzipinga Aya zetu hao ndio watu wa Motoni. 51
Maelezo ya chini
51 Na wale walio jikukusa nafsi zao katika kuipiga vita Qur'ani kushindana na Waumini na kuwapinga, wakitamani na kudai kwa uwongo, kwamba wao watapata wayatakayo - watu hao watabaki milele katika adhabu ya Motoni.