Surat Al-Hajj, aya 49

22:49

قُلۡ يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّاسُ إِنَّمَآ أَنَا۠ لَكُمۡ نَذِيرٞ مُّبِينٞ ٤٩

Qul yā'ayyuhan-nāsu innamā ana lakum nadhīrum mubīn

Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni mwonyaji kwenu niliye dhaahiri. 49

Maelezo ya chini

49 Ewe Nabii! Waambie hao wanao kanusha, wanao kuhimiza waletewe adhabu: Sio kazi yangu mimi kukulipeni kwa vitendo vyenu. Bali hakika mimi ni mwenye kukuhadharisheni kwa hadhari iliyo wazi kwamba kuna adhabu. Na Mwenyezi Mungu ndiye wa kukuhisabuni na kukulipeni.