Surat Al-Hajj, aya 24

22:24

وَهُدُوٓاْ إِلَى ٱلطَّيِّبِ مِنَ ٱلۡقَوۡلِ وَهُدُوٓاْ إِلَىٰ صِرَٰطِ ٱلۡحَمِيدِ ٢٤

Wahudū ilat-tayyibi minal-qawli wahudū ilā sirātil-hamīd

Na wataongozwa kwenye maneno mazuri, na wataongozwa kwenye Njia ya Msifiwa. 24

Maelezo ya chini

24 Na ziada ya starehe yao humo Peponi ni kuwa Mwenyezi Mungu atawajaalia wawe na kauli njema, na vitendo vizuri vya kusifika. Basi watakuwa wakimtakasa Mwenyezi Mungu na kumtukuza, na watakuwa wenyewe kwa wenyewe wakiamiliana kwa mapenzi na amani.