Surat Al-Fil, aya 3

105:3

وَأَرۡسَلَ عَلَيۡهِمۡ طَيۡرًا أَبَابِيلَ ٣

Wa arsala 'alayhim tayran abābīl

Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi, 3

Maelezo ya chini

3 Na Mwenyezi Mungu aliwasalitisha na majeshi ya ndege yaliyo watokea makundi kwa makundi yakifuatana, na yakawazunguka kila upande.