خَٰلِدِينَ فِيهَا لَا يُخَفَّفُ عَنۡهُمُ ٱلۡعَذَابُ وَلَا هُمۡ يُنظَرُونَ ١٦٢
Khālidīna fīhā lā yukhaffafu 'anhumul-'adhābu walā hum yunzarūn
Watadumu humo. Hawata-punguziwa adhabu wala hawatapewa muda wa kupumzika. 162
Maelezo ya chini
162 Na wataendelea katika laana hii na katika Moto, wala hawatapunguziwa adhabu, wala hawatapewa muhula wala haitoakhirishwa. Hata wakiomba muhula na kuakhirishwa hawataitikiwa.