Surat Al-Baqarah, aya 152

2:152

فَٱذۡكُرُونِيٓ أَذۡكُرۡكُمۡ وَٱشۡكُرُواْ لِي وَلَا تَكۡفُرُونِ ١٥٢

Fadhkurūnī adhkurkum washkurū lī walā takfurūn

Basi nikumbukeni nitakukumbukeni, na nishukuruni wala msinikufuru. 152

Maelezo ya chini

152 Basi enyi Waumini! Nikumbukeni kwa kunit'ii, na Mimi nitakukumbukeni kwa kukupeni thawabu. Na nishukuruni kwa neema nilizo kuvikeni, wala msizipinge neema hizi kwa kuyaasi yale niliyo kuamrisheni.