قَالَ ٱلَّذِينَ ٱسۡتَكۡبَرُوٓاْ إِنَّا بِٱلَّذِيٓ ءَامَنتُم بِهِۦ كَٰفِرُونَ ٧٦
Qālal-ladhīnastakbarū innā billadhī āmantum bihī kāfirūn
Wakasema wale wanao jivuna: Sisi tunayakataa hayo mnayo yaamini. 76
Maelezo ya chini
76 Wakasema wenye kiburi: Sisi tunapinga na tunayakataa hayo mnayo yaamini nyinyi, na hayo anayo itia Swaleh ya kuwa Mungu ni mmoja.