Surat Al-A'raf, aya 204

7:204

وَإِذَا قُرِئَ ٱلۡقُرۡءَانُ فَٱسۡتَمِعُواْ لَهُۥ وَأَنصِتُواْ لَعَلَّكُمۡ تُرۡحَمُونَ ٢٠٤

Wa idhā quri'al-qur'ānu fastami'ū lahū wa ansitū la'allakum turhamūn

Na isomwapo Qur'ani isikilizeni na mnyamaze ili mpate kurehemewa. 204

Maelezo ya chini

204 Enyi Waumini! Mkisomewa Qur'ani isikilizeni kwa masikio yenu, mpate kuzingatia mawaidha yake, na msikilize vizuri mpate kuipata rehema.