وَأُمۡلِي لَهُمۡۚ إِنَّ كَيۡدِي مَتِينٌ ١٨٣
Wa umlī lahum inna kaydī matīn
Nami nitawapa muda. Hakika mpango wangu ni madhubuti. 183
Maelezo ya chini
183 Nitawakunjulia maisha, bila ya kuyapuuza maovu yao. Na mipango yangu niliyo wapangia ni ya nguvu na mikali juu yao, inalingana na madhambi yao yaliyo zidi kwa kupita kiasi.