يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّبِيُّ حَسۡبُكَ ٱللَّهُ وَمَنِ ٱتَّبَعَكَ مِنَ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ ٦٤
Yā'ayyuhan-nabiyyu hasbukallāhu wamanit-taba'aka minal-mu'minīn
Ewe Nabii! Mwenyezi Mungu anakutoshelezea wewe na Waumini walio kufuata. 64
Maelezo ya chini
64 Ewe Nabii! Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu ni Mwenye kukudhamini wewe na wenye kukufuata miongoni mwa Waumini katika kila jambo lenye maana kwenu.