Surat Al-Anfal, aya 59

8:59

وَلَا يَحۡسَبَنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ سَبَقُوٓاْۚ إِنَّهُمۡ لَا يُعۡجِزُونَ ٥٩

Walā yahsabannal-ladhīna kafarū sabaqū innahum lā yu'jizūn

Wala wasidhanie wale walio kufuru kwamba wao wametangulia mbele. La, wao hawatashinda. 59

Maelezo ya chini

59 Wala wasidhani walio kufuru kuwa wamekwisha tangulia na wameiepuka adhabu ya kukhuni kwao na kwenda kinyume! Wao kabisa hawatamshinda Mwenyezi Mungu asiwazunguke na kuwatia nguvuni, bali Yeye peke yake ni Muweza, na atawalipa kwa nguvu zake na uadilifu wake.