Surat Al-Anfal, aya 50

8:50

وَلَوۡ تَرَىٰٓ إِذۡ يَتَوَفَّى ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ ٱلۡمَلَٰٓئِكَةُ يَضۡرِبُونَ وُجُوهَهُمۡ وَأَدۡبَٰرَهُمۡ وَذُوقُواْ عَذَابَ ٱلۡحَرِيقِ ٥٠

Walaw tarā idh yatawaffal-ladhīna kafarul-malā'ikatu yadribūna wujūhahum wa adbārahum wadhūqū 'adhābal-harīq

Na laiti ungeli ona Malaika wanapo wafisha wale walio kufuru wakiwapiga nyuso zao na migongo yao, na kuwaambia: Ionjeni adhabu ya Moto! 50

Maelezo ya chini

50 Na lau kuwa unaona, ewe Mtume, kile kitisho kikubwa, kinacho wateremkia hawa makafiri, wakati ule Malaika wanapo wafisha na kuwang'oa roho zao, nao wakiwapiga mbele na nyuma, na wakiwaambia: Onjeni adhabu ya Moto kwa sababu ya vitendo vyenu viovu!!