Surat Al-Anfal, aya 15

8:15

يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوٓاْ إِذَا لَقِيتُمُ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ زَحۡفٗا فَلَا تُوَلُّوهُمُ ٱلۡأَدۡبَارَ ١٥

Yā'ayyuhal-ladhīna āmanū idhā laqītumul-ladhīna kafarū zahfan falā tuwallūhumul-adbār

Enyi Mlio amini! Mkikutana na walio kufuru vitani msiwageuzie mgongo. 15

Maelezo ya chini

15 Enyi mlio isadiki Haki na mkait'ii! Mkikutana na wale walio kufuru katika uwanja wa vita nao wanakujieni kwa wingi wao, msiwakimbie mkazipa mgongo panga zao.