Surat Al-Anfal, aya 14

8:14

ذَٰلِكُمۡ فَذُوقُوهُ وَأَنَّ لِلۡكَٰفِرِينَ عَذَابَ ٱلنَّارِ ١٤

Dhālikum fadhūqūhu wa anna lil-kāfirīna 'adhāban-nār

Ndio hivyo! Basi ionjeni! Na bila ya shaka makafiri wana adhabu ya Moto. 14

Maelezo ya chini

14 Enyi Waumini! Hivyo ndio vita, basi vionjeni, na muwe na yakini kuwa mtapata nusura na kuungwa mkono. Na wanao pinga Ishara za Mwenyezi Mungu watapata adhabu nyengine Siku ya Kiyama, nayo ni adhabu ya Moto.