Surat Al-Anbiya, aya 93

21:93

وَتَقَطَّعُوٓاْ أَمۡرَهُم بَيۡنَهُمۡۖ كُلٌّ إِلَيۡنَا رَٰجِعُونَ ٩٣

Wataqatta'ū amrahum baynahum kullun ilaynā rāji'ūn

Nao wakalikata jambo lao hili mapande mapande baina yao. Wote watarudi kwetu. 93

Maelezo ya chini

93 Na juu ya kuwepo uwongozi huu aghlabu ya watu wamegawanyika kwa mujibu wa matamanio yao, wakafanya mambo yao ya Dini mapande mapande, wakawa makundi mbali mbali. Na kila kundi litaturejea Sisi tulihisabie vitendo vyake.