وَأَدۡخَلۡنَٰهُمۡ فِي رَحۡمَتِنَآۖ إِنَّهُم مِّنَ ٱلصَّٰلِحِينَ ٨٦
Wa adkhalnāhum fī rahmatinā innahum minas-sālihīn
Na tukawaingiza katika rehema yetu. Hakika wao walikuwa katika watu wema. 86
Maelezo ya chini
86 Na tukawajaalia miongoni mwa watu wa kupata rehema yetu. Hakika hao ni katika waja wetu wema.