وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِدۡرِيسَ وَذَا ٱلۡكِفۡلِۖ كُلّٞ مِّنَ ٱلصَّٰبِرِينَ ٨٥
Wa ismā'īla wa idrīsa wadhal-kifli kullum minas-sābirīn
Na Ismail, na Idris, na Dhulkifli - wote walikuwa miongoni mwa wanao subiri. 85
Maelezo ya chini
85 Ewe Nabii! Watajie watu wako khabari za Ismail, na Idris, na Dhulkifli. Wote hao ni miongoni wanao subiri wakahimili taklifa na shida.