Surat Al-Anbiya, aya 64

21:64

فَرَجَعُوٓاْ إِلَىٰٓ أَنفُسِهِمۡ فَقَالُوٓاْ إِنَّكُمۡ أَنتُمُ ٱلظَّٰلِمُونَ ٦٤

Faraja'ū ilā anfusihim faqālū innakum antumuz-zālimūn

Basi wakajirudi nafsi zao, wakasema: Hakika nyinyi mlikuwa madhaalimu! 64

Maelezo ya chini

64 Wakazirejea nafsi zao wakiifikiria ile ibada yao kuabudu vitu visivyo mnufaisha yeyote wala haviwezi kujitetea wenyewe. Wakayaona makosa yao. Baadhi yao wakasema: Ibrahim si katika walio dhulumu, bali nyinyi ndio madhaalimu kwa kuabudu vitu visio stahiki kuabudiwa.