قَالُواْ فَأۡتُواْ بِهِۦ عَلَىٰٓ أَعۡيُنِ ٱلنَّاسِ لَعَلَّهُمۡ يَشۡهَدُونَ ٦١
Qālū fa tū bihī 'alā a'yunin-nāsi la'allahum yashhadūn
Wakasema: Mleteni mbele ya macho ya watu, wapate kumshuhudia 61
Maelezo ya chini
61 Wakasema wakubwa wao: Nendeni mkamlete, ahukumiwe mbele ya macho ya watu, na washuhudie aliyo yatenda!