Surat Al-Anbiya, aya 60

21:60

قَالُواْ سَمِعۡنَا فَتٗى يَذۡكُرُهُمۡ يُقَالُ لَهُۥٓ إِبۡرَٰهِيمُ ٦٠

Qālū sami'nā fatan yadhkuruhum yuqālu lahū ibrāhīm

Wakasema: Tumemsikia kijana mmoja akiwataja. Anaitwa Ibrahim. 60

Maelezo ya chini

60 Wakasema baadhi yao: Tumemsikia kijana mmoja akiitaja kwa kuisubu (kuitukana) ; naye anaitwa Ibrahim.