Surat Al-Anbiya, aya 53

21:53

قَالُواْ وَجَدۡنَآ ءَابَآءَنَا لَهَا عَٰبِدِينَ ٥٣

Qālū wajadnā ābā'anā lahā 'ābidīn

Wakasema: Tumewakuta baba zetu wakiyaabudu. 53

Maelezo ya chini

53 Wakasema: Tumewakuta baba zetu wakiyatukuza na wameshika kuyaabudu. Nasi tukawafuata.