Surat Al-Anbiya, aya 27

21:27

لَا يَسۡبِقُونَهُۥ بِٱلۡقَوۡلِ وَهُم بِأَمۡرِهِۦ يَعۡمَلُونَ ٢٧

Lā yasbiqūnahū bil-qawli wahum bi amrihī ya'malūn

Hawamtangulii kwa neno, nao wanafanya amri zake. 27

Maelezo ya chini

27 Hawamtangulii Mwenyezi Mungu kwa kauli yao wainenayo kabla ya Yeye kuwapa ruhusa. Na wao hawatendi lolote ila kwa amri yake tu, wala hawapindukii mipaka ya amri anayo waamrisha.