Surat Al-Anbiya, aya 16

21:16

وَمَا خَلَقۡنَا ٱلسَّمَآءَ وَٱلۡأَرۡضَ وَمَا بَيۡنَهُمَا لَٰعِبِينَ ١٦

Wamā khalaqnas-samā'a wal-arda wamā baynahumā lā'ibīn

Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyo baina yao kwa mchezo. 16

Maelezo ya chini

16 Wala hatukuziumba mbingu na ardhi na viliomo baina yao kwa mpango huu wa hikima, na muundo huu wa namna peke yake, kwa mchezo. Bali tumefanya yote haya kwa hikima ya juu ambayo wanaifahamu wenye kuzingatia.