فَلَمَّآ أَحَسُّواْ بَأۡسَنَآ إِذَا هُم مِّنۡهَا يَرۡكُضُونَ ١٢
Falammā ahassū ba sanā idhā hum minhā yarkudūn
Basi walipo ihisi adhabu yetu, mara wakaanza kukimbia. 12
Maelezo ya chini
12 Na tulipo taka kuwateketeza, na wakahisi ukali wa adhabu yetu na uwezo wetu wa kuwateremshia hayo yatakayo wapata, wakafanya haraka kukimbia, kama wanyama hayawani, ati kutafuta kuokoka!